http://esrf.or.tz/wp-content/uploads/2020/05/Capture.jpg

Organizer: Economic and Social Research Foundation

Event Date: 06-01-2017

Venue: ESRF Conference Hall

Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) inawaalika kwenye mkutano wa mawasilisho kuhusu Kilimo Biashara.

Mkutano huu utafanyika siku ya Ijumaa ya tarehe 06/01/2017 kuanzia saa 9 alasiri hadi saa kumi na moja na nusu jioni katika ukumbi wa mikutano wa ESRF.

Mawasilisho yatakayotolewa yatahusu;

  • Shamba Kitalu na ufugaji wa kuku kisasa
  • Kilimo cha malisho ya mifugo (Hydroponic fodder)
  • Azolla – chakula cha mifugo na mbolea asilia
  • Ufugaji wa kisasa wa samaki katika vizimba, mabwawa na matanki (Cage, Pond and Circulative Fish Farming)

Watakaopenda kuhudhuria wanatakiwa kuthibitisha ushiriki wao kwa kutuma ujumbe mfupi wa maandishi (sms) kupitia namba 0626645245 au barua pepe kilimo@esrf.or.tz.