TAMKO LA SERA ZA KUWASAIDIA VIJANA KWENYE KILIMO BIASHARA, Wajibu na Mchango wa Halmashauri za Wilaya

    .

    Idadi ya Vijana ni zaidi ya nusu ya idadi ya wananchi wa Tanzania. Wengi wanatambua fursa zilizopo kwenye kilimo-biashara kwa vile mahitaji ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla yanazidi kuongezeka sambamba na uongezeko la idadi ya watu ambao wako kwenye sekta zingine nje ya sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi. ESRF imefanya utafiti ambao unadhihirisha wazi kuwa ili vijana waweze kushiriki kikamilifu na kutoa mchango mzuri kwenye uchumi wa Halmashauri zetu, itabidi kuzingatia maswala ya kisera na kiutendaji.

    Read MoreLatest Publications

View all


ESRFs activities are supported by the Government of the United Republic of Tanzania, United Nations Development Programme (UNDP), African Capacity Building Foundation (ACBF) and International Development Research Centre (IDRC)