Mwongozo wa Mipango Miji.

  Manufaa ya upangaji:

  • Kuweka utararibu mzuri wa kuishi kwa pamoja.
  • Kutumia vizuri eneo la ardhi lililopo.
  • Kutenga maeneo ya wazi kwa kupumzikia, na pia kwa ajili ya ujenzi wa shule, zahanati na kadhalika.
  • Kuhakikisha kuwa kila eneo linafikika kwa urahisi, linapata hewa nzuri ya kutosha pamoja na mwanga wa kutosha.
  • Kupunguza gharama za kupitisha bomba za maji pamoja na bomba za maji machafu/taka.
  • Kuondoa migongano baina ya wakazi wa eneo hilo.

  Read MoreLatest Publications

View all


ESRFs activities are supported by the Government of the United Republic of Tanzania, United Nations Development Programme (UNDP), African Capacity Building Foundation (ACBF) and International Development Research Centre (IDRC)