Mradi wa Kupunguza Umaskini na Kuhifadhi Mazingira.

    Serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kwa msaada wa Shirika la Maendeleo ya Umoja wa Mataifa (UNDP) na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP) ikishirikiana na Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) inatekeleza Mradi wa Kupunguza Umaskini na Kuhifadhi Mazingira.

    Mradi huu unatekelezwa kwa ushirikiano na wadau mbalimbali katika Halmashuri za Nyasa, Ikungi, Ileje, Bunda, Bukoba Vijijini na Sengerema pia Jeshi la Kujenga Taifa, Mashirika ya Kiraia, na Vikundi vya wananchi katika Wilaya husika.

    Read MoreLatest Publications

View all


ESRFs activities are supported by the Government of the United Republic of Tanzania, United Nations Development Programme (UNDP), African Capacity Building Foundation (ACBF) and International Development Research Centre (IDRC)