Darubini ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025: Toleo la 5.

    Toleo hili la Darubini ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 linaelezea utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2025 katika mikoa ya kanda ya Kaskazini. Mikoa hiyo ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga. Toleo hili litaonesha ni kwa kiasi gani Serikali imetekeleza nguzo zote za Dira 2025 katika Kanda hii. Nguzo hizo ni: (i) Kuboresha hali ya maisha ya Watanzania; (ii) Kuwepo kwa mazingira ya amani,utulivu na umoja; (iii) Kujenga utawala bora na utawala wa sheria; na (iv) Kujenga uchumi imara unaoweza kuhimili na ushindani kutoka nchi nyingine.

    Read MoreLatest Publications

View all


ESRFs activities are supported by the Government of the United Republic of Tanzania, United Nations Development Programme (UNDP), African Capacity Building Foundation (ACBF) and International Development Research Centre (IDRC)