Darubini ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025: Utawala Bora na Utawala wa Sheria.

    Toleo la tatu la Darubini ya Dira ya Maendeleo yaTaifa (DDMT) linaelezea utekelezaji wa nguzo ya tatu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 ambayo inalenga kuimarisha uongozi bora na utawala wa sheria nchini, ili kujenga uwezo wa Watanzania wa kuwafanya viongozi na watumishi wa umma kuongeza ufanisi katika utendaji - kazi na uwajibikaji. Uongozi bora na utawala wa sheria ni vichocheo muhimu katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii kupitia mifumo wa uwajibishwaji kwa wavunjaji wa sheria za kazi na utoaji wa motisha kwa wafanyakazi bora ili kuhamasisha ubunifu, ustadi, uvumbuzi na kuongeza ubora katika utoaji wa huduma kwa umma.

    Read MoreLatest Publications

View all


ESRFs activities are supported by the Government of the United Republic of Tanzania, United Nations Development Programme (UNDP), African Capacity Building Foundation (ACBF) and International Development Research Centre (IDRC)