Toleo la pili la Darubini ya Dira ya Maendeleo yaTaifa 2025 (au Dira 2025).

    oleo la pili la Darubini ya Dira ya Maendeleo yaTaifa 2025 (au Dira 2025), ni mwendelezo wa kuelezea utekelezaji wa nguzo ya kwanza ya Dira 2025 kupitia mipango na mikakati iliyoandaliwa ili kuleta maendeleo nchini. Mipango na mikakati hiyo, ni pamoja na Mpango wa Maboresho ya Utumishi wa Umma, Mpango wa Kurasmisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Malengo ya Maendeleo ya Millenia, Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini (MKUKUTA), Mpango Elekezi wa Maendeleo

    Read MoreLatest Publications

View all


ESRFs activities are supported by the Government of the United Republic of Tanzania, United Nations Development Programme (UNDP), African Capacity Building Foundation (ACBF) and International Development Research Centre (IDRC)