Darubini ya Dira ya Taifa 2025.

    Darubini ya Dira ya Taifa ni taarifa inayotoa tathmini ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 ambayo ilianzwa kutekelezwa mwaka 2000 ili kuongoza harakati za maendeleo ya uchumi na jamii zitakazoiwezesha Tanzania kufikia hadhi ya nchi zenye kipato cha kati na kuondokana na umasikini uliokithiri ifikapo mwaka 2025. Taarifa hii itakuwa ikitolewa mara nne kila mwaka, ikiwa inalenga kuwahabarisha watanzania katika ngazi zote hadi vijijini, kuhusu juhudi zinazofanywa na serikali kutekeleza mipango ya kimaendeleo kwa kuzingatia malengo ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025. Kila toleo litakuwa likielezea utekelezaji wa lengo moja au mawili ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025.

    Read More



Latest Publications

View all


ESRFs activities are supported by the Government of the United Republic of Tanzania, United Nations Development Programme (UNDP), African Capacity Building Foundation (ACBF) and International Development Research Centre (IDRC)