TANZIA.

  TANZIA

  TAASISI YA TAFITI ZA KIUCHUMI NA KIJAMII (ESRF) INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MFANYAKAZI WAKE NDUGU ABDALLAH HASSAN KILICHOTOKEA USIKU WA KUAMKIA TAREHE 12/09/2017 NYUMBANI KWAKE MIKOCHENI 'B' KANISA ROAD, NYUMBA No. 5.

  MAREHEMU ABDALLAH HASSAN ALIJIUNGA NA TAASISI TANGU MWAKA 2000.

  UNAWEZA KUWASILISHA RAMBIRAMBI YAKO KUPITIA NAMBA 0718 217181 (SELEMANI HAJI-MHASIBU)

  "HAKIKA SISI SOTE NI WA MWENYEZI MUNGU NA KWAKE TUTAREJEA"


  Last updated on 2017-09-28
ESRFs activities are supported by the Government of the United Republic of Tanzania, United Nations Development Programme (UNDP), African Capacity Building Foundation (ACBF) and International Development Research Centre (IDRC)