ESRF na GRADE Waingiza Teknolojia Mpya Ya Kupanga Makazi Kupitia Simu.

    Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) kwa kushirikiana na Shirika la Utafiti lisilo la kiserikali (GRADE) lililopo nchi ya Lima, Peru zimetengeneza program ya simu ya mkononi inayoitwa LOTIZER inayoweza kutumiwa na wamiliki ardhi katika maeneo mapya ya mijini ili kupanga viwanja kabla ya kuuza.

    Teknolojia hiyo mpya ya kupanga makazi ilioneshwa kwa viongozi, wananchi na watendaji wa mkoa wa Dar es salaam katika semina iliyofanyika katika ukumbi wa ESRF.

    Programu hiyo iliyotengenezwa baada ya kufanywa kwa utafiti unaohusu “Upangaji wa Hiari wa Makazi katika Jamii” katika Mkoa wa Dar es Salaam, imefunzwa pia kwa madalali..

    Soma Zaidi


    Last updated on 2017-08-25
ESRFs activities are supported by the Government of the United Republic of Tanzania, United Nations Development Programme (UNDP), African Capacity Building Foundation (ACBF) and International Development Research Centre (IDRC)